Nyimbo Za Huzuni Wakati Wa Kumuaga Mwl Nyerere
Kazi ya kutengeneza Jeneza ikaanza mara moja na kumalizika usiku wa manane. Kisha, Walker akalipamba jeneza hilo na likapelekwa hospitalini. Siku ya Ijumaa, Aprili 13, 1984, maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani walifurika "Karimjee Hall" kumuaga mpendwa wao, marehemu Sokoine. Kwa hakika, umati uliokuwepo uliweka rekodi iliyokuja kuvunjwa na umati uliojitokeza Octoba 21,1999 kufuatia kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa wakati huo.
nyimbo za huzuni wakati wa kumuaga mwl Nyerere
Aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Dk. John Magufuli alikuwa miongoni mwa viongozi walimkubali sana Sokoine. "Aprili 12, 1984 Sokoine alipofariki ilikuwa ni huzuni kubwa sana. Mimi nilikuwa kwenye mafunzo ya lazima JKT Mpwapwa 'Operesheni Nguvukazi'. Sokoine Kamwe hatasahaulika kwani alipiga vita rushwa, wizi na unyonyaji. Alikuwa Mzalendo wa kweli hivyo ni mwito wangu kwa Watanzania tumuige na tumuishi." aliwahi kusema Dk. Magufuli wakati akizungumza Aprili 12, 2018. 041b061a72